Ngadu01
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 503
- 794
mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuriPiga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.