Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Shangilia piga kelele msifu Bwana.

Hongera kwa neema iliyokukuta mkuu..
Hope umeshatoa sadaka ya shukrani..

maana kama nimiezi mitatu nina hakika unamengi mazuri yakushuhudia tangu uwe sober.
 
Mlevi wa kutegemewa au sio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiacha pombe walevi wanakuchukia wanakuonea wivu kwakua umefanikiwa kutoka kwenye kundi lao la wapumbavu
πŸ˜‚ hao ni walevi ambao hawana elimu,utu na ustaarabu
mtu anaekunywa pombe naimani ni mtu anaetakiwa ajimudu sana kisaikolojia ukishindwa hapo basi we hujiwezi, sijawahi kuyumba,kutukana mtu,kupiga mazogo kisa pombe kwanza nikiweka vyombo ndo nakuwa makini mno cv zishishuke mi nafikiri pombe inawatu wake!.
 
Mlevi wa kutegemewa au sio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mkuu usishangae hawa watu wapo huyu ukute akikimbia mezani basi wengine wote mpo hoi...🀣
mlevi wakutegemewa mambo yakimshinda nyie wengine jueni ndo mmeisha!
 
Ubaya wa mlevi ni kuwa akilewa huwa anajihisi yuko makini ila sisi tunamuona ndo tunajua hali aliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…