Michezo ni moja ya sekta muhimu duniani inatoa ajira kwa watu tofauti tofauti; wachezaji, makocha, wauza vifaa vya michezo na ajira nyingine nyingi kwenye michezo ambazo ziwezi kuzitaja zote
Ili tuwe na sekta imara ya michezo yatupasa tuanze chini yaani mashuleni na kukuza vipaji toka wakiwa wadogo na njia sahihi ni mashuleni
Changamoto ya michezo mashuleni
1. Uchache/upungufu wa vifaa vya michezo, aslimia kubwa ya shule zetu zina upungufu wa hali ya juu vifaa vya michezo kama mipira, koni, sare za michezo nk
Na baadhi ya shule hazina hata viwanja au ina viwanja vya baadhi mfano aasilimia kubwa ya shule ina viwanja vya mpira wa miguu na Pete peke yake
2. Upungufu wa taalamu wa michezo
Kama sio zote basi asilimia kubwa ya shule wanaofundisha michezo ni wale walimu wanaopenda michezo aidha walicheza/wanacheza au wana ujua kwa kiasi Chao ila sio wataalamu na hawana taaluma yeyote ya michezo
3. Haizingatiwi, hata kwa baadhi ya shule ambazo ina vifaa vichache michezo sio kitu cha muhimu wanakomaa na elimu mwanzo mwisho, shule zilizo nyingi hawana ratiba ya michezo ya siku, wiki, mwezi au mwaka na shule chache ambazo wameweka ratiba haifuatwi
Maoni
1. Michezo liwe somo ambalo linafundishwa nchi kama masomo mengine hii it's saidia kwa vijana uwajibikaji kwenye kusoma maana hakuna mwanafunzi anapenda kufeli, hivyo atawajibika kusoma kwa nadharia na vitendo
2. Waajiliwe watu wenye taaluma ya michezo kufundisha michezo mashuleni, hii itasaidia uwajibikaji kwa sababu atafundisha kitu ambacho anakijua, na kutakuwa na utawala bora kwenye michezo kwa kua anayefundisha anajua anachokifundisha
3. Kuandaa mtaala, nchi yatupasa tuwe na mtaala mmoja ili vijana wote wawe wanafundishwa kitu kimoja hii itasaidia Kila mmoja kumpima kwa sahihi, itawajibisha na italeta uwajibikaji na utawala bora kwenye michezo
4. Ruzuku ya vifaa vya michezo, kuwe na utaratibu Kila mwaka kuwe na Ruzuku ya kutoa vifaa vya michezo
Hayo yote yatasaidia kuleta uwajibikaji na utawala bora kwenye michezo

Upvote
2