Bichwa ndani ya dryer
Member
- Sep 22, 2026
- 64
- 124
Taasisi ya elimu Tanzania (TIE) nawapongeza Kwa juhudi za kuinua Elimu nchini katika ngazi zote shule za msingi mpaka masekondari
Lakini suala linakuja kwenye hao wanaoenda kuutekeleza Kwa vitendo huo mtaala hawaandaliwi sawasawa na matakwa ya mtaala hivyo kufanya matokeo ya huo mtaala kutokuzaa matunda
Ambayo yanayotarajiwa ya kuzalisha wanafunzi wenye umahiri kwenye masomo husika hasahasa haya ya sayansi
Navoona Kwa mtaala huu wa sekondari hata walimu wangepigwa brash kwanza na Kwa walio chuoni muda wa kusomea ualimu uongezwe iwe miaka 4 badala ya 3
Na field ya mwaka wa kwanza mpka wapili wasiende mashuleni Bali waende kwenye application ya somo husika Kwa mfano kama anapendakufundisha masomo ya sayansi iwe
Kwa Mwalimu wa biolojia aende ajafanye field hospitali, maabara za biology na microbiology na zingne vile vile kwa Chemistry aende kwenye maabara za kudhibiti ubora viwandani
na kwenye taasisi za tafiti kama Tari ,NMaist na nyingne na Kwa Mwalimu wa physics aende kwenye viwanda akaone real physics inavyofanya kazi akajifunze boilers,pumps ,aende Tanesco ajifunze installation za umeme, majeneta na kadhalika
hizi Fields zitawaongezea umahiri na experience za kufundisha kitu kutokana na handle on experience na zitawafanya wanafunzi wafurahie somo
kwasababu hata zile concept ngumu zitakuwa rahisi sio mambo ya kukaririsha Ohms law Mwanafunzi anamaliza Current electricity hata kuhamisha bulb holder geto kwake hawezi ,
Walimu wengi wanaofundisha vitu ambavyo vingine haijawai hata kukiona au kukiapply sasa hapo unadhani Mwanafunzi atakuwa na akili ya uvumbuzi au creativity yoyote?,
mfano unakuta Mwalimu anafudhisha biology fermentation lakini hata enzyme hajawi kuiona au hao cerevisiae saccharomyces haijawai kuwaona Kwa macho
hii inafanya mtaala uinekane mzuri Kwa macho ila matokeo yanakuwa butu
Nasema hili kwasababu inexperience wakati najitafuta nilisomea kada flani ya sayansi
sio ualimu kutokana na uzoefu kidgo niliouptia katika field nkapata shule ya kufundisha sekondari somo flani la sayansi asee madogo waliinjoi sana
sayansi ikawa nyepesi mpka waliokuwa wameopti walirudi mpka nilipopata mchongo sehemu nkasepa ,walilia sana niliposepa .
Kwahiyo ukijakufyatilia masomo ya sayansi yanaonekana ni magumu Kwa nature ya walimu wanaotufundishia wanetu
ila wakiandaliwa vyema basi tutapata wanafunzi wenye weledi mkubwa ,ujuzi,maarifa na umahiri
Ni hayo tu Kwa Leo.