mtaala wa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtaala mpya wa elimu yaendane na mabadiliko ya mfumo wa kuandaa Walimu.

    Taasisi ya elimu Tanzania (TIE) nawapongeza Kwa juhudi za kuinua Elimu nchini katika ngazi zote shule za msingi mpaka masekondari Lakini suala linakuja kwenye hao wanaoenda kuutekeleza Kwa vitendo huo mtaala hawaandaliwi sawasawa na matakwa ya mtaala hivyo kufanya matokeo ya huo mtaala...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Shule anayosoma mwanao unasema nini kuhusu jinsi ya kukabiliana na hali ya taharuki kama vugugugu la D9?

    Kama mtaala wa shule anayo soma mwanao upo chini ya Necta basi lazima utakuwa silent kuhusu jinsi ya kusurvive na kuthrive kwenye situation ya taharuki kama vuguvugu la D9 au kama hali iliyo tokea Oktoba 29. Maana mitaala yote ya Necta, point zake huwaga ni zilezile siku zote : 👇👇👇 1. Poor...
Back
Top Bottom