LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Kama mtaala wa shule anayo soma mwanao upo chini ya Necta basi lazima utakuwa silent kuhusu jinsi ya kusurvive na kuthrive kwenye situation ya taharuki kama vuguvugu la D9 au kama hali iliyo tokea Oktoba 29.
Maana mitaala yote ya Necta, point zake huwaga ni zilezile siku zote : 👇👇👇
1. Poor infrastructures
2. Poor social services.
3. Lack of employment n. k?
Sasa kama mtaala anaosoma mwanao umekaa kimya ama hauelekezi namna gani ya kusurvive ama/ na kuthrive kwenye situation ya taharuki kama hii ya D9 au ilitokea Oktoba 29, unajistress kulipa mamilioni kwa sababu gani?
Hujioni kuwa u mjinga wewe?
The true education has 3 qualities👇👇👇
1. Helps you to acquire power
2. Protect power and
3. Maintain power.
Power over everything. Power over every situation
Tofauti na hapo ni unafanya biashara ya kuto. Omba moto unaungua mavuzi...
Elimu yenye qualities hizo tatu huwezi kuipata kwenye mtaala unaotolewa chini ya Necta
Unalipa mamilioni shule ya Ems mtoto anasoma anafika hadi chuo na ana graduate kabisa,halafu ghafla linatokea tatizo kama lililo tokea Oktoba 29 , mtoto anakwambia " Baba tusome Suratul Yaseen na Alamnashra 7 kila tukifika kwenye Mubeen"
Hee sasa si bora tungekusomesha madrasa tu ingetosha kuliko kuchoma mamilioni kwenye ada?
Au kama wa upande wa pili unasema " Baba twende kwa Mwamposa au tupige makofi tukiimba ' Anasumbukia maisha yangu anasumbukia maisha yangu".
He yani mnaleta mazingaombwe tena kwenye mambo yanayo hitaji matumizi ya scientific mind wakati ninyi ni wasomi mnao paswa kutatua changamoto kwa kutumia scientific mind.
Si bora tungekupeleka madrasa tu au Bible school iki ijulikane moja.
Haya sasa twende kazi, kimbia haraka sana kumtoe mwanao kwenye shule ya Ems mrudishe Kayumba haraka sana ana thank me later 🙏🙏🙏
Na kwa wale mnao hofia usalama wenu siku ya kesho, repeat after me the following words 👇👇👇
" Mabaya hayato nipata mimi, wala tauni haito ikaribia hema yangu kwa kuwa Bwana Mungu wa Majeshi ataniagizia malaika zake wanilinde katika njia zangu zote ".
Stay at home. Stay safe..
Be blessed.