LoneJr
Senior Member
- May 18, 2024
- 169
- 247
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia;
Lifestyle ya ''hustle culture ''
- Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa lengo la mafanikio ya haraka]?
Mabadiliko ya uhusiano na familia
-Je, vijana wanapata changamoto gani katika kudumisha uhusiano wa familia au kijamii kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha?
Nawasilisha.