Mabadiliko ya mtindo wa maisha wa vijana;Je, vijana wa Leo wanaishi vipi tofauti na vijana wa miaka 20-30 iliyopita?

Kijana bora wa sasa ni yule mwenye uwezo mzuri wa kuitumia teknolojia in positive way .

Baishara zote zinafanyika online
Kazi zibatafutwa online
Mke /Mme anatafutwa online

Kusoma ni online pia .

Vijana around 20-40 wa Tanzania bado wanaamini mitandaoni ni sehemu ya showoff , sehemu ya Kupost makalio na kutukana watu.

Na kusahau sehemu sahihi ambayo unabidi ku-exist ukiwa decent ni mitandaoni pekee.
 
Kwanini 😂 😂 ama kwa vile wa sasa wanashaini sana
Hawashain kwa lolote wanajitia njaa wenyewe,wakati wangu mimi nikiwa aged 22 nimenunua kiwanja 3.1mill sehemu napoishi leo nikiwa 23 nikanunua sehemu nyengine nikiwa 25 nikaanza ujenzi 28 nikaoa 31 nikahamia kwangu.

Leo kijana anapiga winga kazi yenyewe maalumu hana lakini anawaza kununua simu ya 1.3mill kisa ina kamera kali akapige picha aringishie wenzake anavyong’aa huku amepanga chumba kimoja sijui akili za watu wa miaka hii zime-copy wapi vitendo wanavyofanya,hawajui kuna kuoa,hawajui kujiandaa kwa ajili ya kusomesha labda watoto zao kesho yaani wapo wapo tu.
 
Kijana bora wa sasa ni yule mwenye uwezo mzuri wa kuitumia teknolojia in positive way .

Baishara zote zinafanyika online
Kazi zibatafutwa online
Mke /Mme anatafutwa online

Kusoma ni online pia .

Vijana around 20-40 wa Tanzania bado wanaamini mitandaoni ni sehemu ya showoff , sehemu ya Kupost makalio na kutukana watu.

Na kusahau sehemu sahihi ambayo unabidi ku-exist ukiwa decent ni mitandaoni pekee.
Life hustle, lakini ni vipi kijana ataweza uvuka huo mtego wa mitandao bila kuwa na force kutoka kwa watu wanaomzunguka[direct inspiration]?
 
Hawashain kwa lolote wanajitia njaa wenyewe,wakati wangu mimi nikiwa aged 22 nimenunua kiwanja 3.1mill sehemu napoishi leo nikiwa 23 nikanunua sehemu nyengine nikiwa 25 nikaanza ujenzi 28 nikaoa 31 nikahamia kwangu.

Leo kijana anapiga winga kazi yenyewe maalumu hana lakini anawaza kununua simu ya 1.3mill kisa ina kamera kali huku amepanga chumba kimoja sijui akili za watu wa miaka hii zime-copy wapi vitendo wanavyofanya.
Tumekopy kwenu wazazi 😁
 
Mkuu kama furaha yako ipo kwenye camera kali wala usijinyime kabisa .
 
Hakuna mzazi wa hivi mkuu,labda kama wazazi uliowaona wewe ni wale waliokuwa wanaamkia club na kukesha bar.
Sasa kama si kwenu wazazi ni vipi utasema kwamba tulia evolve from nowhere Kisha tukajipa majina kwa ubin wenu then all in sudden tabia za hovyo zikatuvaa 😲
 
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia;

Lifestyle ya ''hustle culture ''
- Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa lengo la mafanikio ya haraka]?

Mabadiliko ya uhusiano na familia
-Je, vijana wanapata changamoto gani katika kudumisha uhusiano wa familia au kijamii kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha?

Nawasilisha.
HIvi sasa ni machawa ila 20 30 ago walikuwa wazale do halisi na sii machawa kama chawa waleoila sasa cha kutikosa ni kuwa waliokuwa 20 30 wakati huo hii leo wamegeuka wafuga chawa wezi,walarushwa,wahujumu uchumi na masifadi nani ya taifa giza,taifa la kusadikika.
 
Nani wa kulaumiwa
 
Back
Top Bottom