themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,806
- 2,830
Yeah, unstall app yako, kisha nenda kwenye google chrome kisha search Jamii forum, press the first link you see ambayo ni link ya jamii forum browser, kisha nenda upande wa kulia kuna dots 3 press kisha utaona download app ndo u-download sasaYan kwa tunaotumia app tu unstall then tuna download upya au?
Sina uhakika, hivi magazeti huwa yanapaikana hapa JF?Pia Mkuu ongeza jukwaa la Graduate Job seekers
No 2 hapa pawekwe haswaaah.Asante,tunaomba kwenye app mpya kuwe na maboresho haya;
1.Kwenye sehemu ya kuweka username au email,hapa tunaomba user name iwe inafutika mara tu unapo log out na sio kubakia pale kwa usalama sio nzuri.
2.Kuwe na uwezo wa ku save draft,yaani unaandika kitu unahifadhi kwa ajili ya kupost au kuendeleza baadae.
ItapendezaVipi tukiisha inunua, tukaiibadilisha JF kuwa chama cha siasa...Nawaza tu.🤔
Mi huwa siipendi hii lughaaaa!Max Melo unaupiga mwingi. Big up sana.
Mkuu tunashukuru sana,
Ila kwangu jamiiforum app haileti notifications kwa wakati,
Nalazimika kutumia browser
Hii shida nilijua ni kwangu tu[mention]Maxence melo [/mention] mkuu app haitoi notifications za wakati husika hadi masaa kadhaa yapite
Yaan kuanzia masaa8
HAPO NAKAZIAMaxence Melo pia kwenye upande wa taarifa za mtu binafsi pia mzingatie, mfano mtu akiangalia info yako anaona mpaka threads ulizochangia, nafikiri itapendeza kama hii feature ikizuiwa, kama ni kuonekana basi zionekane threads zilizoanzishwa na mhusika tu
lakini sio kwenye uzi mwingine alicomment nini na nini, maoni yake yataonekana huko huko kwenye uzi husika na sio kuyalist kwenye profile yake.
Apo namba mbili ni jambo la muhimu sanaAsante,tunaomba kwenye app mpya kuwe na maboresho haya;
1.Kwenye sehemu ya kuweka username au email,hapa tunaomba user name iwe inafutika mara tu unapo log out na sio kubakia pale kwa usalama sio nzuri.
2.Kuwe na uwezo wa ku save draft,yaani unaandika kitu unahifadhi kwa ajili ya kupost au kuendeleza baadae.
Changamoto itakuwa kule jukwaa la biashara na matangazo. Matapeli watapita mulemuleMkuu tunaomba sasa mtu aweze kufuta uzi wake mwenyewe, au anapoomba kufutwa kwa uzi wake basi ufutwe bila masharti.
Sent from my itel it1508[emoji28][emoji28] mkuu hili kweli sio zuri nakuunga hoja
Kwangu ni kama hvYeah, unstall app yako, kisha nenda kwenye google chrome kisha search Jamii forum, press the first link you see ambayo ni link ya jamii forum browser, kisha nenda upande wa kulia kuna dots 3 press kisha utaona download app ndo u-download sasa
Maelezo zaidi fata link aliyo weka Maxence Melo
Shukrani nimeipata , ina unyama mwingi sana sasa naifutilia mbali ile takataka nyingine ambayo play store wamejipa kipaumbele..Kadownloand iliyoandikwa ultimate free basics
Mkuu umeipata hii mpya?Shukrani nimeipata , ina unyama mwingi sana sasa naifutilia mbali ile takataka nyingine ambayo play store wamejipa kipaumbele..
NdioMkuu umeipata hii mpya?