Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Niko front seat kwa Hilo. Ila Maxence Melo Ila tumekuwa tukibadilisha Sana mwonekano wa JF. Yaani sikumbuki tena toka 2008 JF ilivyokuwa na series za mabadiliko katikati. Nakubaliana na mabadiliko ya Teknolojia Ila pia itusaidie kuwa highly protected.
 
Mkuu naomba Ushauri wangu huu kama mtaweza muushughulikie

1.Kuwepo na uwezo wa kureply kwa EMOJ (EMOJ REACTION)

2.Changamoto PM ni kubwa hasa kwa wanaopokea PM nyingi huwa ukisoma PM message iliyosomwa huja kukaa Top kiasi kwamba kama umesoma SMS ya 750 itarud top tena ikulazima kuscroll hadi 751 ndio ukute tena unreaded Messege, Pia kuwepo na notification ya unreaded message, yaani message ambayo haijasomwa ionekane na ambayo imesomwa Iwe na mwonekano tofauti

3. Kuwepo na notification kiasi kwamba MTU anapokuwa quoted apate notification itakayomwezesha kuona qoute husika,
 
Hii yenu Mpya ina ugumu mwingi sana, nimejaribu nimeiondoa nikaenda pakua hii niliyozoea kutoa PLAY STORE tu. Yaan Nashauri muiboreshe hii ya kwenye Play store iwe muonekano ule. Thread unashuka nayo afu uanze tena kurequest next page?? No
[emoji15][emoji15][emoji15] next page?
 
Hii muhimu sana
Mbona mi sipati notification?

Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao

Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile

Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
 
Tuweze ku edit heading wenyewe pia angalau ndani ya masaa machache
 
Ukiiifunga kwa mara ya kwanza unashtuka mpk sehemu iliyoandikwa verify free internet hapo unaingia rasmi kisha unashuka chin kabisa mpk sehemu ya ongeza huduma zaidi utaikuta Jf au utaisearch kwa urahisi zaidi.
Umetisha saana
 
Back
Top Bottom