Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Niko front seat kwa Hilo. Ila Maxence Melo Ila tumekuwa tukibadilisha Sana mwonekano wa JF. Yaani sikumbuki tena toka 2008 JF ilivyokuwa na series za mabadiliko katikati. Nakubaliana na mabadiliko ya Teknolojia Ila pia itusaidie kuwa highly protected.
 
Mkuu naomba Ushauri wangu huu kama mtaweza muushughulikie

1.Kuwepo na uwezo wa kureply kwa EMOJ (EMOJ REACTION)

2.Changamoto PM ni kubwa hasa kwa wanaopokea PM nyingi huwa ukisoma PM message iliyosomwa huja kukaa Top kiasi kwamba kama umesoma SMS ya 750 itarud top tena ikulazima kuscroll hadi 751 ndio ukute tena unreaded Messege, Pia kuwepo na notification ya unreaded message, yaani message ambayo haijasomwa ionekane na ambayo imesomwa Iwe na mwonekano tofauti

3. Kuwepo na notification kiasi kwamba MTU anapokuwa quoted apate notification itakayomwezesha kuona qoute husika,
 
Hii yenu Mpya ina ugumu mwingi sana, nimejaribu nimeiondoa nikaenda pakua hii niliyozoea kutoa PLAY STORE tu. Yaan Nashauri muiboreshe hii ya kwenye Play store iwe muonekano ule. Thread unashuka nayo afu uanze tena kurequest next page?? No
[emoji15][emoji15][emoji15] next page?
 
Hii muhimu sana
 
Hakika, naunga mkono
Katika kitu kinaniudhi ni kumuignore mtu halafu bado naona post zake, inatakiwa hata wewe mmiliki wa jf nikikublock basi nisione hata kope yako hapa ikipepea.
 
Tuweze ku edit heading wenyewe pia angalau ndani ya masaa machache
 
Ukiiifunga kwa mara ya kwanza unashtuka mpk sehemu iliyoandikwa verify free internet hapo unaingia rasmi kisha unashuka chin kabisa mpk sehemu ya ongeza huduma zaidi utaikuta Jf au utaisearch kwa urahisi zaidi.
Umetisha saana
 
Mimi swali langu ni moja boss Maxence Melo ,je kwa sisi tunaotumia chrome tukitaka kufanya updates ya jamii forum tunafanyaje?
 
Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.

Unalionaje pendekezo hili?
I like this comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…