Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Maandishi yote yanafanana, heading ya uzi, jina la mleta uzi na maandishi mengine vyooote vinafanana.
Sioni sehem ya kuwekea night mode.

Hii feature mpya mbayaaaaa
 
Ase kama hui mwonekano kuna watu unawafirahisha unaonaje Maxence Melo mkituwekea Option pale ya sie tunaohitaji ile ya awali kuendelea nayo?

Kwamba pale kwenye preference, Night Mode, Blue Mode ongezeni Moja ile ya Old Mode...

Hii ya sasa naona iko special kwa wabovu wa macho!

Maandishi makubwa mno, hizo fonts za awali zilikuwa nzuri zaidi!
 
Mkuu Maxence Melo huu muonekano mpya unaumiza macho,rudisheni ule wa zamani mkiwa mnaendelea kuuboresha huu mpya.
 
Mmezingatia uwepo wa wenye uoni hafifu? Muonekano gani huu unaumiza macho hivi? Umepaukaaa😏
 
Max nakupenda sana mkuu hauna makuu kabsa. JF Mimi kwangu ndio homeplace yangu.
 
Ase kama hui mwonekano kuna watu unawafirahisha unaonaje Maxence Melo mkituwekea Option pale ya sie tunaohitaji ile ya awali kuendelea nayo?

Kwamba pale kwenye preference, Night Mode, Blue Mode ongezeni Moja ile ya Old Mode...

Hii ya sasa naona iko special kwa wabovu wa macho!

Maandishi makubwa mno, hizo fonts za awali zilikuwa nzuri zaidi!
Firahisha = Furahisha
 
Kweli tuwekewe option ya old mode , mimi tatizo font size maandishi yanajaa mno comments mbili zinajaa kipo japo siitumii tecno
 
Muonekano mpya si rafiki, Muonekano wa awali uliniwezesha kupata heading nyingi kwenye screen ya simu yangu.

Hakukuwa na usumbufu wa ku scroll ili kusoma headings nyingine kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom