Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

Mimi mwonekano wa iphone naoukubali na 5, 5s na 12 huzi za hapa kati sikuzielewa

Aisee hata mimi hizi zenue angle nazikubali sana
Zinanikumbusha iphone 5s niliipenda sana ile simu
 
Hahahah hatareee bora angeweka ile hello nn sijui kidogo ina mvuto lakini hii mediatek ni rabishi
Mediatek sio skin wala theme Sijui


Unasemaje helio Ina mvuto kuliko media Tek ..hizo Ni Kama Moto kwa binadamu unasemaje Moyo wa mtu flani una mvuto ikiwa hauuoni?
 
Back
Top Bottom