Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI.
****************************
Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo;
1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa hata Kama Watakuwa ni wasomi wakubwa na wafanyakazi katika sekta mbalimbali.
2)Kuzuiwa kupata PASI YA KUSAFIRI (passport) bila ya kusimamiwa na mume ama ndugu wa kiume(male guardians).
3) Kuzuiwa KUSAFIRI peke yao bila ya uangalizi wa ndugu wa kiume safarini huko.
4) Kuendesha magari.
Mabadiliko hayo hayakuja KIRAHISI kutokana na kupingwa na WAHAFIDHINA na kupelekea KUKAMATWA na kufungwa wanaharakati wengi wa kike.
Ikumbukwe pamoja na MAISHA BORA waliyonayo WATOTO WA KIKE WA UTAWALA HUO WA KIFALME(princesses) lakini iligunduliwa BAADHI yao wanatoroka nchi hiyo na kwenda kuishi nchi za ughaibuni mbali na kwao na kuacha nyuma maisha ya UKWASI yanayootwa na binadamu wengi.
Hii inaonesha pasi na shaka kuwa UHURU WA MWANADAMU una thamani kuliko kitu chochote!
Sambamba na mabadiliko hayo yanayowahusu wanawake ,kumetolewa RUHUSA ya haya yafuatayo:
1) Majumba Ya Sinema
2) Kupigwa muziki katika majumba na kumbi za starehe.
Hakika HUU NI USHINDI mkubwa mno kwa watu ambao wamekuwa wakiishi chini ya sheria kali zilizokuwa zinaminya Uhuru wao wa kibinadamu!
Wabillahi Tawfiq!
Wallahu A'aalam (Mola ndiye mjuzi zaidi)
***********************
#BinadamuWoteNiSawa
#WanawakeWanaweza
#KaziIendelee
Source: Gravitas