Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Sheria za wanawake nchini Iran si kali Kama za hao Wasaudi.....@Kismboy hapo Iran anasemaje?
🤣🤣🤣Pongezi sana kwa Wanaharakati Wanawake wa Saudia kwa kupigania haki hadi kufikia hapo,
Utakuta mijitu huku Tz na midevu yao inalilia Uhuru na Haki kwa kutype kwenye social media,
Tokeni nje, mpigwe, mvunjwe, mlale jela baadae ndo watu waone kweli mpo serious, sio mwatishiwa 'kipigo cha mbwa koko' mwakimbilia kuficha mikia ndani,
[emoji1241]
🤣🤣🤣Kule bado akina "Malala" wanazuiwa kwenda SHULE.....Kule Afghanistan nako pako shwari?
Amini iko siku KOREA itakombolewa.........Korea pekee ndiyo haitabadlilsihwa na lolote...
Al Akhui muadhama Kikwajuni One , fasbir swabran Jamila akhy(subiri subira njema kaka)....Korea nako kuko vipi,tuletee habari zake.
🤣🤣Korea pekee ndiyo haitabadlilsihwa na lolote...