Ku retrospect Sheria ya Bodi ya mikopo ulikuwa udikiteta uliokomaa.Tanzania Sheria hurudi nyuma. Ni muhimu uelewe kuwa Tanzania ni taifa lisilo na stands, mfano wa Sharia retrospective ni Ile ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Mkuu tunaelekea huko ...hii itapitishwa kwa dharura.. Itapelekwa haraka kwa chief Hangaya..Kwani hii kesi si imeshaanza?kama nna kumbukumbubu vizuri kesi ikishaanza inahukumiwa kwa sheria zilizokuwepo wakati kesi inaanza,na sio sheria mpya iliyotungwa wakati kesi inaendelea,na hii ni hekima ya wazee kuepusha mahakama kugeuzwa kichekesho maana kama tukiamua uhuni wa hivyo ufanyike,imagine kitakachoendelea duniani...mahakama itakuwa kituko na kichekesho..maana mwenye nguvu akiona kesi imembana anaenda kupindua vifungu vimpendelee,si vichekesho?!dont tell me tushafika huko..mleta mada kama ni kweli tumefika hapo embu nihakikishie ili nianze kucheka hapa!!we will be finished as a nation.
Lakini Urio ni military personnel sio police, hivyo kwa mujibu wa hiyo sheria he has no any excuse unless otherwise the contrary is proven.Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uhalifu huo
Sheria inapasa iangalie mbele na sio kuangalia matukio ya watu wachache
Mapendekezo yanayopelekwa Bungeni tena kwa tangazo la Bunge la ghafla watu wakatoe maoni kwa siku moja Dodoma yanalenga kitu gani?
Someni mabadiliko hayo kwa umakini sana sana, Msije baadae mkaanza kulaumu Serikali.
View attachment 2105978
Serikali imepeleka Bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali, ni muhimu watu mkasome vizuri hizi sheria
Luteni Urio na wenzake baada ya kubanwa mahakamani ilionekana moja kwa moja wao ndio waliotengeneza hiyo picha ya kesi ya Mbowe kwa kuwatafuta Makomandoo ili wakafanye uharifu
Fuatilia vizuri Mahojiano ya Kibatala na Urio utangundua Urio anajitetea yeye kama Undercover
Kwa sheria hii ikipita Urio hiyo kesi haimuhusu anaokoka mapema sana, Ongezeko la neno Undercover kwenye sheria hii moja kwa moja Urio na wenzake hawahusiki na kesi hii ya Mbowe
Sheria ya Bodi ya mikopo mbona ilitumikaHaitoweza kutumika kwenye kesi hii kwa sababu imetungwa wakati kesi tayari imeanza kusikilizwa ivyo haina uhalali kwa kesi hii,labda kesi zijazo
Wewe hii nchi huijui, Kaa kimyaLakini Urio ni military personnel sio police, hivyo kwa mujibu wa hiyo sheria he has no any excuse unless otherwise the contrary is proven.
Mboe alikuwa na "NIA OVU" ndio maana alinaswa kwenye mtego ulikuwa umewekwa na Ltn. Urio.Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu( HESLB) hii iliathiri hata wale waliochukua mkopo zamani kuanza kulipa 15%
Sasa hii sheria mpya ikipita hasa Kipengele tajwa msije sema hatukusema au tunatetea ccm, Tutasimama na sheria irudi nyuma au iende mbele kwa matumizi
Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uhalifu huo
Sheria inapasa iangalie mbele na sio kuangalia matukio ya watu wachache
Mapendekezo yanayopelekwa Bungeni tena kwa tangazo la Bunge la ghafla watu wakatoe maoni kwa siku moja Dodoma yanalenga kitu gani?
Someni mabadiliko hayo kwa umakini sana sana, Msije baadae mkaanza kulaumu Serikali.
View attachment 2105978
Serikali imepeleka Bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali, ni muhimu watu mkasome vizuri hizi sheria
Luteni Urio na wenzake baada ya kubanwa mahakamani ilionekana moja kwa moja wao ndio waliotengeneza hiyo picha ya kesi ya Mbowe kwa kuwatafuta Makomandoo ili wakafanye uharifu
Fuatilia vizuri Mahojiano ya Kibatala na Urio utangundua Urio anajitetea yeye kama Undercover
Kwa sheria hii ikipita Urio hiyo kesi haimuhusu anaokoka mapema sana, Ongezeko la neno Undercover kwenye sheria hii moja kwa moja Urio na wenzake hawahusiki na kesi hii ya Mbowe
Aisee,hivi hawa wanasiasa wanajua wanakotupeleka lakini?hivi hii nchi haina deep state?!eti Tumia akili hao jamaa zenu wana kazi gani ikiwa nchi inapitia vitu vya ajabu hivi?!mnaelewa madhara ya hili suala kwa baadae?!mnataka kuharibu ustawi wa nchi wote wa baadae kwa kusolve hizi ishu za muda mfupi?!20 years to come inawezekana kusiwe na Mbowe wala Chadema but you wanna ruin the whole country and its future generations kwa kujenga precedence za ajabu hivi ili tu kumkomoa mtu mmoja?!dah!najua waafrika tuna shida ila sikujua tuna shida kubwa hivi!Mkuu tunaelekea huko ...hii itapitishwa kwa dharura.. Itapelekwa haraka kwa chief Hangaya..
Kutumika sasa hivi italeta aibu.. Ila Serikali haina aibu.. Unaweza shangaa ikatumika mahakama ya rufani kama kesi itafika huko japo pia ni aibu
Kumbe hata wewe Lumumba uliyekunywa maji ya bendera walikuficha?Mabadiliko yamefanyika leo usiku?
Ndio maana ya watu kutwa kutoa maoni, inaweza kuongeza au ikabadilishwa kuwa security officer.Hata hivyo, hayo marekebisho yanamtaja Police officer pekee. Lut. Urio sio police officer
Kosa huwa kosa kwa sheria iliyopo usiwe mjinga,sio kosa la jana sheria ya kesho hili halipo jisomee vitabuMimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu( HESLB) hii iliathiri hata wale waliochukua mkopo zamani kuanza kulipa 15%
Sasa hii sheria mpya ikipita hasa Kipengele tajwa msije sema hatukusema au tunatetea ccm, Tutasimama na sheria irudi nyuma au iende mbele kwa matumizi
Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uhalifu huo
Sheria inapasa iangalie mbele na sio kuangalia matukio ya watu wachache
Mapendekezo yanayopelekwa Bungeni tena kwa tangazo la Bunge la ghafla watu wakatoe maoni kwa siku moja Dodoma yanalenga kitu gani?
Someni mabadiliko hayo kwa umakini sana sana, Msije baadae mkaanza kulaumu Serikali.
View attachment 2105978
Serikali imepeleka Bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali, ni muhimu watu mkasome vizuri hizi sheria
Luteni Urio na wenzake baada ya kubanwa mahakamani ilionekana moja kwa moja wao ndio waliotengeneza hiyo picha ya kesi ya Mbowe kwa kuwatafuta Makomandoo ili wakafanye uharifu
Fuatilia vizuri Mahojiano ya Kibatala na Urio utangundua Urio anajitetea yeye kama Undercover
Kwa sheria hii ikipita Urio hiyo kesi haimuhusu anaokoka mapema sana, Ongezeko la neno Undercover kwenye sheria hii moja kwa moja Urio na wenzake hawahusiki na kesi hii ya Mbowe
Bibi Sultan....hata kwa mababu haikuwa namna hiyoMimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu( HESLB) hii iliathiri hata wale waliochukua mkopo zamani kuanza kulipa 15%
Sasa hii sheria mpya ikipita hasa Kipengele tajwa msije sema hatukusema au tunatetea ccm, Tutasimama na sheria irudi nyuma au iende mbele kwa matumizi
Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uhalifu huo
Sheria inapasa iangalie mbele na sio kuangalia matukio ya watu wachache
Mapendekezo yanayopelekwa Bungeni tena kwa tangazo la Bunge la ghafla watu wakatoe maoni kwa siku moja Dodoma yanalenga kitu gani?
Someni mabadiliko hayo kwa umakini sana sana, Msije baadae mkaanza kulaumu Serikali.
View attachment 2105978
Serikali imepeleka Bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali, ni muhimu watu mkasome vizuri hizi sheria
Luteni Urio na wenzake baada ya kubanwa mahakamani ilionekana moja kwa moja wao ndio waliotengeneza hiyo picha ya kesi ya Mbowe kwa kuwatafuta Makomandoo ili wakafanye uharifu
Fuatilia vizuri Mahojiano ya Kibatala na Urio utangundua Urio anajitetea yeye kama Undercover
Kwa sheria hii ikipita Urio hiyo kesi haimuhusu anaokoka mapema sana, Ongezeko la neno Undercover kwenye sheria hii moja kwa moja Urio na wenzake hawahusiki na kesi hii ya Mbowe
Unachokisema ni kweli kabisa lakini sheria imemtaja askari wa jeshi gani? Je kwa wakati huo Urio alibadiishwa na kuwa polisi?Wewe hii nchi huijui, Kaa kimya
Huyo millitary personnel kibali si alikipata kwa Director of criminal Investigation yaani DCI Boaz wakati huo au?
Kumbe hata wewe Lumumba uliyekunywa maji ya bendera walikuficha?
ACHA ujinga MbowesioGaidi malipo Ni hapa hapa duniani litakutokea na wew usingiziwe Utajuta!mmbw wewMimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa