The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
The mining reforms introduced in 2017 has added 7.2trn/- to the national coffers in 6 years earned through the sale of different minerals. The reforms led to the creation of at least 44 gold trading centers and other 70 minerals trading centers in some districts across.
Watakuja vikaragosi vya Ufipa kusema ni sera kandamiziMabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Tusio mpenda hayati Magufuli karibuni kwa matusi yaliyo bora kabisaMabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Watasema data za kupika.Watakuja vikaragosi vya Ufipa kusema ni sera kandamizi
USSR
Uchumi unazidi kuimarika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu hajabadili sheria ya madini tu bali amefanikisha kubadili sera ya biashara na uwekezaji sasa watanzania tunanufaika na fursa za ajira zitokanazo na uwekezaji pia wafanyabiashara wanaendelea kuimarika kiuchumi maana sheria kandamizi zimeondolewaMabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.
Chagagang wanasemaje kuhusu hiliMabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye mfuko mkuu wa serikali.