Mnadi Sixson
New Member
- Jun 9, 2024
- 2
- 0
Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti na utunzaji mazingira.
Hii itafanya kauli mbiu ya "kata mti panda mti" kufanikiwa tofauti na sasa miti mingi inakatwa bila kupandwa mingine.
Hii itafanya kauli mbiu ya "kata mti panda mti" kufanikiwa tofauti na sasa miti mingi inakatwa bila kupandwa mingine.
Upvote
1