MEKADDISHKEM
Senior Member
- Sep 15, 2016
- 148
- 144
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
We nitake radhi tafadhali, mwanamke mwenzangu huyo.
Mtafute Amani missana wa pillow talk anakitu kinaitwa bana banduka utakuja kusimulia Rafiki yangu mkewe alikuwa Kama ww but sasa Mambo ni mubashara kabisa anahisi kawa BintiWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Hahaha shemeji siku hizi umekuwa mkorofiii. Haha mungu anakuona lakiniWe nitake radhi tafadhali, mwanamke mwenzangu huyo.
Kajisemea mume wangu, matakataka[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha shemeji siku hizi umekuwa mkorofiii. Haha mungu anakuona lakini
Kwani shemeji unataka nini juu ya suala la mke wangu? Kutambika ama? Alaaah mbona unanipangia kumtaja wakati mahari nilitoa mimiKajisemea mume wangu, matakataka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi shemeji mbona suala la mkeo kila nikikuuliza unalikwepa?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani shemeji unataka nini juu ya suala la mke wangu? Kutambika ama? Alaaah mbona unanipangia kumtaja wakati mahari nilitoa mimi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka kwa nguvuuuu!! Basi yaishe shemeji, nimemmiss tu sijamtia machoni kitambo.
Duupicha tafadhali
Nimeanza leo.[emoji16][emoji16][emoji16]
Umeanza lini tabia za kumiss wake za watu
Acha hiyo tabia mdogo wangu sawa! Labda mimi nikumiss ila wewe kummiss mke wangu nitakuchapaaNimeanza leo.
Not only Us (Men), selfishness is human nature![emoji24] [emoji24] ingekuwa balaaa...men are so selfish
Eti mdogo wako! You wish eeh?[emoji3] [emoji3]Acha hiyo tabia mdogo wangu sawa! Labda mimi nikumiss ila wewe kummiss mke wangu nitakuchapaa
Kamuulize mamako kama unadhani ni ishu za utani hiziAcha povuuuu!!
Weka style ya kubana papuchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atume pic etpicha tafadhali