Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Miezi ya mwanzo nilikuwa nikiinama kudeki au kutandika kitanda nasikia hewa inapita jamani... Wanawake wenzangu huwa mnapaweka nini?
Tuwekee ka picha wengine mpaka tuone ndio tunatililika Ma ushauri hebu ji selfie
 
Una akili nyingi sana
 
Kwani ulichanika ? na kama ulichanika hawakukushona ?. Ila jamaa ana tabia mbovu tu uzazi hauwezi kuleta mabadiliko kiasi cha kukukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…