davetz28
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 543
- 624
Hewa inapitaje kwani unadeki uchi? Mambo mengine mnazidisha.Miezi ya mwanzo nilikuwa nikiinama kudeki au kutandika kitanda nasikia hewa inapita jamani... Wanawake wenzangu huwa mnapaweka nini?
Ushauri mzuri jamani.