Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

kata mauno ya kutosha wakati wa kupaliwa.......aiseeee
Jamani huku watoto msiingie,laana nyingine mnazipata kwa kusoma mada kama hizi na matokeo yake wake zenu wakija kujifungua mnaanza kutafuta michepuko mkidai eti maeneo yao yametanuka...
 
M
Tulia kwanza usifanye mambo ya wakubwa,patarudi tu,kalia maji ya moto na salt,then bana miguu mda mwingi,inaonekana ulichanika Sana,so jipe likizo one yr hadi upone.
hhh ayakalie kabisa au akae juu ya kifaa chenye maji ya moto yaliyochanganyika na chumvi
 
M

hhh ayakalie kabisa au akae juu ya kifaa chenye maji ya moto yaliyochanganyika na chumvi
hahaaaa,aweke kwenye basin na salt ndio ayakalie,sio ya kuchoma ila maji moto,husaidia Sana.pia kunywa maziwa mgando mengi,husaidia kutengeneza bacteria wazuri huko chini.
 
Hapo nnimekupata.. sema bbesenippanasana aatafute nndooaama kkakopoaakalie hhukuaakifanya kkubanaa na kuachia!!!
hahaaaa,aweke kwenye basin na salt ndio ayakalie,sio ya kuchoma ila maji moto,husaidia Sana.pia kunywa maziwa mgando mengi,husaidia kutengeneza bacteria wazuri huko chini.
 
Yakipanuka sana, kiustaarabu huyo mpenzi wako anatakiwa aijaze! Kwa sisi wazoefu hilo ni swala dogo sanaaaaa! Hamna uke mdogo wala mpana bali ni jinsi jemedari anavyoingia kazini... Mtu wako kachemsha na kibamia chake... Chepuka..
Unaijazaze mpe ushauri mwenzako akamshauri shemeji yetu!
 
Mkuu naangalia sana msosi..... Sina kitambi alafu napenda mazoezi
endelea kujitunza..maumbile yatarudi kawaida tuu,,,swala la mmeo kuchepuka ni hulka yake tuuu,,talking from experience wapo wamama watu wazima kabisa ila mnato wa K upo kama kawaida
 
Mie sio mtaalam wa hayo mambo but nachokiona hapa ni mumeo kuwa mshenzi na kujitoa ufahamu ktk masuala ya msingi...mwanaume anaejitambua hawezi kuwa na akili za kitoto kwamba amzalishe mkewe watoto kisha ayakatae mabadiliko ya kimaumbile na wakati mwengine hata tabia,kama issue ndogo kama hii anaanza kuchepuka je siku chuchu zikiwa saa 10 alaasiri itakuwaje?na siku umbile lako la No8 likianza kuwa muundo wa duara si atawaleta vimada nyumbani?kaa nae chini umwambie asipoelewa kuna watu wazima waambie wakusaidie mapema akikuzalisha wa tatu utaziona sarakasi zaidi.
Mkuu usikute huyu dada hajawahi kuwa na figure ya namba 8. Shape pia hana yupo kama tuta la viazi. Unataka jamaa aendelee kuvumilia tu?
 
Nashukuru ww hujaja huku kuita watu vibamia na hapo ndo wenye mihogo yetu tunaonekanaga wa maana vitoto vyote vitakuambia kibamia raha sn wakishafungua watoto wawili ndo wanajuaga ahaaa kumbe mwanaume dudu..[emoji12] [HASHTAG]#ujinga[/HASHTAG] wangu mwenyewe haukuhusu..


hahahaha kweli ujinga wako mwenyewe
 
My dear endelea kufanya kegel mi naona inasaidia sana.Muda nao ni tabibu mzuri kadiri muda unavoenda utaona tu mabadiliko.
Na mkiwa faragha epuka kuyawazia maumbile yako manake ukiyawazia hautofurahia tendo.
 
Back
Top Bottom