Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Hauwez kubana naona wanakupa moyo tu,,hautaweza kubana tenaa mpka ufe,,,hata ufanye mazoez ya namna gan haiwezekan,,ni sawa na kukatwa nyuzi haziwez kurud hata uimbe nyimbo zote duniani... Kwanza unataka ubane ili nini?? Ungetaka uendelee kubana usingezaa au ungezaa kwa kisu,,, nazid kuamin wanawake hawajui wanachotaka kwa kwel... Pole kwa maneno yngu ila ukwel hauwez kua kama awali
 
Kuna operation zinafanywa kubana uke japo ni expensive lakin ni salama
 
Mwanaume anaempenda mkewe kwa sababu na kudikiri kusaliti ndoa yake takatifu yenye watoto wawili kiukwel huyo ana Laana na hajakupenda vzr,,inawezekana alikupendea mashine tyt,,sasa umeshafanya overhole mara mbili anaona huna ishu,,daaah pole sana ila kumbuka mume bora hachepuki hata uwe na hali gani.. Akichepuka huyo ameshakuxhoka na usiombe wanaume tukuchoke wakat una kachnga mmmmh utajuta
 
Kama mtoto ulimzaa na hukumdownload basi mabadiliko ni lazima na mpenzio hana budi kukupenda hivyo ulivyo.. Unless awe nautoto mwingi
OVA
 
maji moyo na chumvi ilinisaidia Sana,nimemwambia kitu Nina evidence nacho.
 
Sababu ya Mtoto,akishafikisha at least mwaka upendo utarudi,kwa Sasa harufu ya maziwa,huwa wanaume wengi hawapendi,pili anahic hujapona vizuri
 
Kama hewa bado inatoka hujapona vizuri kwa ndani,ulishonwa vibaya,PIA acha kabisa kuinama na Kazi ngumu,kufua fua umekaa huku umebana miguu,me walinichana kuongeza njia episiotomy si mchezo,nilitulia one year nikapona fresh pakarudi normal.
 
Haswaaaa

Unakuta wiki 3 tu anatoa mzigo kisa jamaa atachepuka
 
Kuna mambo mengine kuyabadili ni kazi sana, sasa mtoto wa 2 afu unataka ibane kama ya mtoto wa darasa la 3?
 
Ndoa ngumu!! Maumbile tu kubadilika tena kwa sababu zinazoeleweka mtu anachepuka mpaka basi! What if ungepata tatizo kikaondolewa kabisa(hatuombei ila nawaza tu) !!?
 
Yaani hii ya maji ya baridi ndiyo nilitaka niongeze, ulaya wazazi wanapewa mkanda ulijazwa barafu ndani wanazungusha kiunoni na wanapona vizuri tu hawatumii maji ya moto.
Sikuwahi kutumia maji ya moto...tena mama huyapiga marufuku kwa binti zake wote....

Na kama alishonwa maji ya moto ndio marufuku
 
Bora jamani, ulitumia muda gani
Kwanza hospitalini walinishaur nikiwa naoga nibane miguu, maji ya moto yasifike huko baada ya kumaliza kuoga unajisafisha na maji ya uvuguvugu, alikuja rafikiangu akaniambia nikiwa naswaki niingize mswaki ndani kinywani yaan unakua kama unataka kutapika ile inasaidia misuli kujikaza na kubana pia nilifanya ivo baada ya miez minne nilianza kuona mabadiliko mwaka ulipoisha nikawa wakawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…