Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Kuna uzi humu ndani umeeleza hizo mambo kwa maana ya njia za kurudisha uke kwnye hali yake, utafuta kwnye jukwaa la afya na istoshe Nenda Kairuki Hospital kama upo dar uonane na wataalamu au kama mkoani ni vyema ukaattend hospital za wilaya kwa msaada
Asante
 
Mke mwenza vipi nawe umeachika?
Wewe bhana!!....... Kila nikikushika pabaya unakimbilia kuniita mke mwenza!!.......kwa taarifa yako wewe kuniita mimi mke mwenza hainizuii kuendelea kukushika pabaya lol!!
 
Sasa mke mwenza mume si nimekuachia, mbona bado unaranda randa!!!
Kwa taarifa yako wewe kuniita mimi eti ni mke mwenza haitanizuia mimi kamwe kuendelea kukushika pabaya lol!!
 
Shemeji huwezi amini hiyo avatar yako ya leo imenigusa. [emoji4]
Izoee kwa muda kidogo kabla sijaibadili maana kuna watu washaanza kuumia mie kubadili badili avatar[emoji12]
 
Izoee kwa muda kidogo kabla sijaibadili maana kuna watu washaanza kuumia mie kubadili badili avatar[emoji12]
Hivi naweza kulipia uweke nayotaka mimi?
 
Hivi naweza kulipia uweke nayotaka mimi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sema tu unataka niweke ipi? Mume wangu akiridhia naiweka tu.
 
Yakipanuka sana, kiustaarabu huyo mpenzi wako anatakiwa aijaze! Kwa sisi wazoefu hilo ni swala dogo sanaaaaa! Hamna uke mdogo wala mpana bali ni jinsi jemedari anavyoingia kazini... Mtu wako kachemsha na kibamia chake... Chepuka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…