loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Huu mwandiko ni kama wa gencymaneAlfajiri nikiamka na kwenda Haja Kubwa ( Kupupu ) kabla ya Kuflashi Mzigo Uende nitaitupia pia na Line yangu ya TTCL ili nayo ipotee mazima na nitabaki tu sasa na Line yangu pendwa na ya miaka mingi ya Airtel ambayo hata Rangi yake tu Nyekundu na Nyeupe nazipenda kwakuwa zinawakilisha Rangi ya Timu yangu pendwa kabisa nchini Tanzania.
Id mpya hiyoHuu mwandiko ni kama wa gencymane
[emoji4][emoji4]Id mpya hiyo
Nipo moro nduguNaliona hilo kama upo Dar piga *148*05# Zantel Only
Zamani nilikuwa nanunua MB 330 kwa shilingi 500, lakini leo nimejaribu kununua nimekuta ni shilingi 825 kwa MB 330. GHARAMA imepanda sana.
Jaribu kuipiga *148*05#Nipo moro ndugu
Nilikuwa nanunua GB 1 kwa 1500 leo ni 2500
Kwa kweli mpaka sasa hivi sijafanikiwa kupata MTANDAO wenye GHARAMA nafuu. Labda nitajaribu kutumia HALOTEL au TIGO.Tupe mrejesho boss.
Mpaka sasa ni mtandao gani una gharama nafuu?
Zantel ingia kwenye DAR BAO au vIFURUSHI vYA cHUOKwa kweli mpaka sasa hivi sijafanikiwa kupata MTANDAO wenye GHARAMA nafuu. Labda nitajaribu kutumia HALOTEL au TIGO.
Ndio! Hii OFA MAALUM ya AIRTEL ni nzuri lakini ukijaribu kwa kupiga *149*99# inaleta huduma nyingine.Zantel ingia kwenye DAR BAO au vIFURUSHI vYA cHUO
Airetel kwenye OFA MAALUM
Nilikuwa nanunua GB 1 kwa 1500 leo ni 2500
Zantel ingia kwenye DAR BAO au vIFURUSHI vYA cHUO
Airetel kwenye OFA MAALUM
Mtandao wenyewe unasuasua halafu wanapandisha gharama si watu watawakimbia?
Au ndio wana improve network yao kupatikana muda wote?
Kwa kweli jamaa ni mtihani mkubwa
Kwahiyo unacheza game sioNimejaribu kuweka laini ya TTCL kwenye simu ndogo na haijasoma vizuri.
Kwahiyo unacheza game sio