loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Huu mwandiko ni kama wa gencymaneAlfajiri nikiamka na kwenda Haja Kubwa ( Kupupu ) kabla ya Kuflashi Mzigo Uende nitaitupia pia na Line yangu ya TTCL ili nayo ipotee mazima na nitabaki tu sasa na Line yangu pendwa na ya miaka mingi ya Airtel ambayo hata Rangi yake tu Nyekundu na Nyeupe nazipenda kwakuwa zinawakilisha Rangi ya Timu yangu pendwa kabisa nchini Tanzania.