Kuna makampuni yatapoteza wateja kila kukicha yasiwaige Vodacom na Tigo + Airtel naongea hvo kwasababu hata wabadil vifurush vp ntabaka kua royal Vodacom + na Tigo why..
kwa sababu ya huduma Tigo voda na airtel hiz ni brand kubwa na zinahuduma mbal mbal ambazo tunatumia kila siku katika maisha yetu mitandao kama TTCL sijui Halotel ambapo hata kupata huduma za mawakala ni kwa kusua sua
ni bora wangekua wanauza data tu skuiz watu weng hawatak sms dk watu wnataka MB sasa hvo vi kampun vidogo acha waige vodacom tigo na airtel kama watu watabak huko watu wataona haina maana kubak mtatando wa kichoko huduma na mahtaj ya shida watahamia
Tigo vodacom na airtel
na kumbuka kwa mujib wa TCRA vodacom inagoza kwa wateja 16M ikifatiwa na Airtel 14M na Tigo 13M kumbuka Tigo kainunua zantel wapemba wote na wenye lain wote za zantel sa hv ni Tigo ila pamoja na hayo hata Tigo na zantel zi combine hazifikii watumiaji wa Vodacom
acha ni enjoy na vodacom acha vodacom wanitese kuliko niteswe na TTCL sijui smile sijui Halotel ambazo network zao mbovu kwenye calls data zenyewe zinayumba akt voda napata 8MB/s
View attachment 2325710
View attachment 2325711
View attachment 2325712