James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Yametimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yametimia yapi mkuuYametimia
Unazitumiaje.??Mimi nimeshaacha kununua mabando ya internet, ili mradi naweza kutumia jamiiforums, whatsapp, Facebook lite, messenger na twitter free inatosha
Vodacom wanakupa 8mb/s tena kwenye 4G?[emoji15][emoji15][emoji15] Sasa kwenye 2.5G yaani E itakuwaje si 0mb/s.
Halotel napata hivi kwenye 3G na 4G, mara nyingi huwa siwashi kabisa 4G kwenye simu yangu, sababu speed ya 3G inanitosha kabisa, speed ya 4G inamaliza tu chaji!View attachment 2326045 na 4G
View attachment 2326046
Braza Naona ulicho kiandika hukielewi Ngoja nikueleweshe na uwe na uelewa usikariri na skunyingne usirudie
1MB/s = 8Mbps unaona tofaut kat ya hizo B kuna na hiyo b ndogo na B kubwa
ukiona wameandika MB/s ni inaitwa Megabyte per sec na ukiona Mbps hiyo inaitwa Megabit per sec kwahyo
1MB/s = 8Mbps au 1Mbps=0.125MB/s
standaard unit inayotumika international ni Mbps kwahyo wewe hapo hzo units zako za Halotel maximum nimeona 32Mbps hiyo ni sawa na kugawanya kwa 32/8 = 4MB/s kwahyo wewe unapata 4MB/s sijui unaelewa hapo watanzania weng tumekariri MB/s ila hapo ina display Mbps kwahyo data zako unatakiwa ugawe kwa 8 kupata MB/s
Vodacom haijawah zidiwa speed na mtandao wowote Tanzania nakwambia hivo na lain zote hapa had smile hakuna inayo zidi speed vodacom na nipo eneo zuri mtandao fresh kinacho izid vodacom speed ni kitu kinaitwa Fiber tena Fiber ya zuku na TTCL kwa mbal ndo hatar inaenda had 12MB/s ambayo ni sawa na 96Mbps
una google unaweza ukafatilia tofauti kat ya MBps na Mbps
unaweza ukatazama picha za speed ya vodacom kwa unit tofaut nimweka kwa Mbps na MB/s kama nilvo ainisha hapo chin usikariri elewa
Kwa maana hiyo mm speed yangu ya ku upload vitu avarage kama unavoona 32+Mbps ni sawa na speed yako ya ku download vitu na speed yangu ya ku download vitu ni mara 2 ya speed yako ya ku download
View attachment 2327267
View attachment 2327268
View attachment 2327269
View attachment 2327270
View attachment 2327271