whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Iyo 32mbs unaunga bando ya milioni ngapi?Vodacom wanakupa 8mb/s tena kwenye 4G?π³π³π³ Sasa kwenye 2.5G yaani E itakuwaje si 0mb/s.
Halotel napata hivi kwenye 3G na 4G, mara nyingi huwa siwashi kabisa 4G kwenye simu yangu, sababu speed ya 3G inanitosha kabisa, speed ya 4G inamaliza tu chaji!View attachment 2326045 na 4G
View attachment 2326046
Vodacom wanakupa 8mb/s tena kwenye 4G?π³π³π³ Sasa kwenye 2.5G yaani E itakuwaje si 0mb/s.
Halotel napata hivi kwenye 3G na 4G, mara nyingi huwa siwashi kabisa 4G kwenye simu yangu, sababu speed ya 3G inanitosha kabisa, speed ya 4G inamaliza tu chaji!View attachment 2326045 na 4G
View attachment 2326046
Unapunguzaje/Unaongezaje speed kwenye voda mzeeAisee! 32MB/SEC? Hapo bando la mwezi si linaisha ndani ya siku?[emoji23]
Mimi natumia Voda, wana option ya kupunguza na kuongeza speed. Ukiongeza speed inafikia hadi 12MBps. Ukipunguza inaishia kwenye 1MBps.
So nimepunguza speed na bado naperezi kwa mtelezo kabisa. Pia imepunguza speed ya bando kuisha..
Unapunguzaje/Unaongezaje speed kwenye voda mzee
Mkuu unapunguzaje speed?Aisee! 32MB/SEC? Hapo bando la mwezi si linaisha ndani ya siku?π
Mimi natumia Voda, wana option ya kupunguza na kuongeza speed. Ukiongeza speed inafikia hadi 12MBps. Ukipunguza inaishia kwenye 1MBps.
So nimepunguza speed na bado naperezi kwa mtelezo kabisa. Pia imepunguza speed ya bando kuisha..
Mkuu unapunguzaje speed?
lINKKasome uzi wa yoga pale jamii intelligent n ndo utajua
Uwe halotelUnafanyaje fanyaje kupata bure?
Hakuna tofautiBora Voda wanatoa 20GB kwa 35k
Ndio maana huwa nazima 4G, 3G inanitoshaIyo 32mbs unaunga bando ya milioni ngapi?
Tuamini kwa sasa Serikali yetu haina meno wala uwezo wa kutuondolea kero.Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na haya mabadiliko ya keshokutwa wananchi tutapata unafuu ama ndiyo watazidi kutuchinjia baharini?
View attachment 2325625
View attachment 2325626
View attachment 2325627
View attachment 2325628
View attachment 2325630
Ni kweliWatafanya watakavyo na hakuna tutafanya zaid ya kulalamika then tutazoea!