Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?


Braza Naona ulicho kiandika hukielewi Ngoja nikueleweshe na uwe na uelewa usikariri na skunyingne usirudie

1MB/s = 8Mbps unaona tofaut kat ya hizo B kuna na hiyo b ndogo na B kubwa

ukiona wameandika MB/s ni inaitwa Megabyte per sec na ukiona Mbps hiyo inaitwa Megabit per sec kwahyo
1MB/s = 8Mbps au 1Mbps=0.125MB/s

standaard unit inayotumika international ni Mbps kwahyo wewe hapo hzo units zako za Halotel maximum nimeona 32Mbps hiyo ni sawa na kugawanya kwa 32/8 = 4MB/s kwahyo wewe unapata 4MB/s sijui unaelewa hapo watanzania weng tumekariri MB/s ila hapo ina display Mbps kwahyo data zako unatakiwa ugawe kwa 8 kupata MB/s

Vodacom haijawah zidiwa speed na mtandao wowote Tanzania nakwambia hivo na lain zote hapa had smile hakuna inayo zidi speed vodacom na nipo eneo zuri mtandao fresh kinacho izid vodacom speed ni kitu kinaitwa Fiber tena Fiber ya zuku na TTCL kwa mbal ndo hatar inaenda had 12MB/s ambayo ni sawa na 96Mbps

una google unaweza ukafatilia tofauti kat ya MBps na Mbps

unaweza ukatazama picha za speed ya vodacom kwa unit tofaut nimweka kwa Mbps na MB/s kama nilvo ainisha hapo chin usikariri elewa

Kwa maana hiyo mm speed yangu ya ku upload vitu avarage kama unavoona 32+Mbps ni sawa na speed yako ya ku download vitu na speed yangu ya ku download vitu ni mara 2 ya speed yako ya ku download

picha nimze quote nikiweka hapa zilkuazinagoma shuka chin utaona
 





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…