Mabadiliko ya wakuu hawa wa mikoa ililenga kumfichia aibu Amos Makalla na waliompendekeza

wakatanta

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
2,594
Reaction score
3,158
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.

Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.

Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.

Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
 
Si hao. Kwa namna wafanyabiashara walivyojiekeza. Mwigulu, Kidata ni wa kuondoka ili waje wengine wataotekeleza mabadiliko hayo. Hao wawili hawawezi kutekeleza mabadiliko ya meno wanayoyasimamia.
 
kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Umepiga kwenye mshono
 
Si hao. Kwa namna wafanyabiashara walivyojiekeza. Mwigulu, Kidata ni wa kuondoka ili waje wengine wataotekeleza mabadiliko hayo. Hao wawili hawawezi kutekeleza mabadiliko ya meno wanayoyasimamia.
Tatizo rais anawashauri kama taasisi,lakini hawaamini,anamsikiliza borntown
 
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.

Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.

Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.

kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)JPM
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
 
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dr. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
Mzee wa kuchoma masoko, Mwaza wajiandae
 
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.

Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.

Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.

Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Bila kuainisha alichoshindwa ni chuki na majungu tu dhidi yake. Kama ni suala la wafanyabiashara, unamuonea tu.
 
Hao Wote Hawana Jipya Angeteua Wapya Vinginevyo Bhalaa Laja
Wafanyabiashara Wameshatimua Vumbi Hatuonani Serikali Inahitaji
Mabadiliko Makubwa Sana Sana, Kwasasa Imegota Haisongi Wakikosea Inazama Chini
 
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.

Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.

Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.

Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Uteuzi na utenguzi uko ndani ya "presidential decree".....

Madai ya wafanyabiashara yako kabla ya mh.Makala kuwa RC wa dar.....

Kwa hiyo mh.Makala hafai kuwa RC na si bora kumzidi mh.Chalamila?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ukiwa mwanasiasa unakubaliana na yote........

#SiempreJMT[emoji120]
 
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
Mkuu hapa tunajenga....

Kwani mh.Makala ana tabia gani inayopelekea kushindwa huko ulikokusema?!!!
 
Tatizo rais anawashauri kama taasisi,lakini hawaamini,anamsikiliza borntown
Umejuaje anamsikiliza huyo "borntown" umsemaye ?!!!

Mkuu umeweka "bugging" system ku"intercept" mawasiliano nyeti ya mh.Rais?!!!![emoji15][emoji15]
 
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.

Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.

Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.

Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Mambo ya kiswahili swahili yapi?!!!
 
Leo ukweli umejulikana shida ni wizara ya fedha tatizo la wafanyabiashara ni la kitaifa Kilimo ni TRA TRA mwigulu mwigulu Koba yote ya nchi acha kudanganya watu; mwasa kigoma UHAMISHO wa kawaida
 
Waitara alisema wanatarime wamemjua mbaya wao na leo mwigulu kaanikwa: sheria zinatungwa na makala. Kikosi kazi kinaundwa na huyo makala; forodha. Au usajiri wa stoo; Hili shuzi ni la mwigulu
 
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
Huo ndio ukweli wenyewe hii nchi kubebana bebana kunaipeleka shimoni
 
Back
Top Bottom