Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kama ni hivyo hata huku Mwanza atoke tu.Mzee wa kuchoma masoko, Mwaza wajiandae
Nasisitiza tena kama hujaanisha hayo madai yako, wewe una chuki naye tu. Hayo ya sina akili ni yako. Unafikiri ukisema hivyo ndivyo inavyokuwa? Aliyeniumba aliridhika na akili aliyonipa. Ulitaka nijiongezee akili zaidi ya niloyopewa na muumba?Huna akili wewe,kwa akili yako hilo pekee ndio umeliona?,serikali haiko hivyo,tafakari
Malima nae katajwa na yule aliyesema waliochota za ndege watasomewa albadiriMabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja headquartersya sukuma gang
Kapelekwa headquarters ya sukuma gang atakoma. Hakuna namba hataisomaMabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Kama hawezi kote,,ni lazima ateuliwe?JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.