Umepiga kwenye mshonoMabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Tatizo rais anawashauri kama taasisi,lakini hawaamini,anamsikiliza borntownSi hao. Kwa namna wafanyabiashara walivyojiekeza. Mwigulu, Kidata ni wa kuondoka ili waje wengine wataotekeleza mabadiliko hayo. Hao wawili hawawezi kutekeleza mabadiliko ya meno wanayoyasimamia.
JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)JPM
Mzee wa kuchoma masoko, Mwaza wajiandaeJPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dr. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
Bila kuainisha alichoshindwa ni chuki na majungu tu dhidi yake. Kama ni suala la wafanyabiashara, unamuonea tu.Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Uteuzi na utenguzi uko ndani ya "presidential decree".....Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
Mkuu hapa tunajenga....JPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.
uongozi hawezi. walivyoona ni mhasibu mzuri ndani ya ccm wakadhani anaweza kuongoza.Mkuu hapa tunajenga....
Kwani mh.Makala ana tabia gani inayopelekea kushindwa huko ulikokusema?!!!
Umejuaje anamsikiliza huyo "borntown" umsemaye ?!!!Tatizo rais anawashauri kama taasisi,lakini hawaamini,anamsikiliza borntown
Mambo ya kiswahili swahili yapi?!!!Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na Fatuma Mwasa ni namna tu ya kuzichanga karata kupunguza maoni na maswali ya wadau.
Kwa sababu aliempendekeza Amos Makala ana ushawishi kwa Rais Samia,hivyo ilikuwa ni aibu kwake,(Mstaafu)
[emoji1787][emoji1787]uongozi hawezi. walivyoona ni mhasibu mzuri ndani ya ccm wakadhani anaweza kuongoza.
Huo ndio ukweli wenyewe hii nchi kubebana bebana kunaipeleka shimoniJPM alimteua Mbeya akashindwa, Akampeleke Katavi, huko ndiko alichemsha big time.....cha ajabu akapelekwa Dar. Watu waliweka wazi kuwa hawezi, leo amepelekwa Mwanza, huko nako itakuwa aibu kwa rais. Makala anatakiwa kuwa dc tu tena kwa wilaya kama dodoma mjini ili awe kama protocol officer tu wa kuwapokea viongozi uwanja wa ndege.