ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Hiyo mioto inaletwa na CHADEMA. CDM wanaleta taharuki nya uongozi wa CCMuonekane hafifu. Kwenye kesi ya uhujumu mbinu hizi zilitawajwa, na sasa hivi CDM iko busy ikileta hujuma za uchomaji wa miundo mbinu. Ninyi ngojeni matokeo ya upelelezi kama hawatakuwemo makada wa CHADEMA.Makala is the best amefanya vyema sana, jiji limependeza sema Kariakoo ndo bado watendaji wa chini wanamhujumu ila jamaa ni mfuatiliaji mzuri sana. Jiji la Dar na majijini yaliharibiwa sana na ufanyaji holela wa bihashara.