Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Watu walifikiri Moshi na Arusha ndio itakuwa kiini cha mabadiliko lakini sisi wengine tulilijua hilo haliwezekani kwa Sababu watu wa Kaskazini wengi wao ni WATU wenye kupenda Fedha kuliko kitu chochote. Na mtu anayependa fedha Sana sio mtu wa kumtegemea na kumwamini. Watu wanaopenda fedha ni kama Malaya.
Wao Muda wowote huweza kujiuza au kuuzwa tuu. Au ni Sawa na mercenary ambao wao huua wakipewa pesa.
Sijasema wote wapo hivyo lakini wengi wao wapo hivyo.
Ni rahisi Sana watu hawa kuwa vibaraka wa watu wengine kwa Sababu ya Pesa
Watu wa Mashariki wao sio wale wenye misimimamo Mikali na wengi wao humuachia Mungu na kuridhika na Hali iliyopo.
Watu wa Kusini na hapa wakibebwa na Mbeya na Songwe pamoja na watu wa Magharibi na kanda ya ziwa hawa ndio watakaoleta mabadiliko ndani ya nchi hii.
Niliwahi kusema na kutabiri kuwa watu hawa Miaka ijayo isiyozidi Mia Moja wataleta mabadiliko ndani ya nchi hii. Iwe mabadiliko ya kuipasua nchi na kutaka kujitenga na kuunda nchi nyingine au mabadiliko ya KIMFUMO.
JPM alikuwa alianzisha Jambo hili akashindwa.
Lakini kadiri kanda hizo zinavyopata Elimu kwa Watu wengi ndivyo Jambo hilo linavyozidi kuwezekana.
Hofu yangu kubwa ni kuwa mabadiliko hayo yasiye yakaratibiwa na taifa jingine.
Chakufanya ni nini?
Hakuna chakufanya zaidi ya Ku- neutralise fikra, mtazamo na utamaduni wa watu wa kanda hizo ambazo kimsingi wao hujiona ndio watu pekee wenye uwezo WA kuiletea nchi hii maendeleo.
Kanda hizo haiamini kama Mtu kutoka kaskazini au Mashariki (Pwani) anauwezo WA kuongoza taifa na kuleta Jambo la maana ndani ya nchi. Wao huamini wao ndio Wazalendo na ndio wenye uwezo WA kuleta mabadiliko.
Usije sema Taikon nimejuaje.
Patterns na codes zinaonyesha hivyo.
Siku njema