Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Hata kaskazini ikiachia usukani kwa kanda nyingine yoyote ile kwa sasa bado itabaki kuwa ukweli usiopingika kuwa kanda hiyo ndiyo imechangia sana mabadiliko hata haya kidogo tuliyo nayo, kuna mtangaza vita na wapiganaji, wao walitangaza vita na ccm wakati ambapo wengine walidhani ni jambo lisilowezekana, leo kuna wapiganaji walio tayari kupigana ila bado hawana uthubutu, inshaallah, tuombe Mungu, huko tuendako wanaweza kutokea majasiri wenye uthubutu hata kutokea mafia, au kilwa kivinje, its a matter of time.Utajionea. Tuombe uzima