Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Watanzania hawajawa tayari kwa mabadiliko mengine ni kutafuta sababu tu.
Na inategemea mabadiliko hayo yanafanywa kwa faida ya nani.Watanzania hawajawa tayari kwa mabadiliko mengine ni kutafuta sababu tu.
π π π π Ndio wamejaa G55Watu walifikiri Moshi na Arusha ndio itakuwa kiini cha mabadiliko lakini sisi wengine tulilijua hilo haliwezekani kwa Sababu watu wa Kaskazini wengi wao ni WATU wenye kupenda Fedha kuliko kitu chochote.
HahahaKanda ya Ziwa CCM wakimuweka msukuma wanateleza tuu (angalia wakati wa Magu)
Kimahesabu wapi wengi wangekuwa na uelewa leo nchi isingetawaliwa na mafisiemu.
.Watanzania hawajawa tayari kwa mabadiliko mengine ni kutafuta sababu tu.
Kaskazini na ziwa ndiyo kanda zinaweza kuleta mabadiliko, ndiyo hata kwenye ununuzi wa wabunge hizo kanda zilisimama imara sn
Kanda ya Ziwa CCM wakimuweka msukuma wanateleza tuu (angalia wakati wa Magu)
Kimahesabu wapi wengi wangekuwa na uelewa leo nchi isingetawaliwa na mafisiemu.
Asilimia kubwa ya population ya watanzania hawaishi mipakani na ndio huamua nani awe kiongozi kwa uwingi wa kura zao
Mbowe kadhihirisha hilowatu wa Kaskazini wengi wao ni WATU wenye kupenda Fedha kuliko kitu chochote.
Hawana huo ubavu waoga ,wafanye kama Mtwara sio mikwara ya kutekwa ,kama mtu hajapatikana wanasubiria nn ..Mnajichetua nyote waoga.
Mbowe kadhihirisha hilo