Mabadiliko yatatokea Kanda ya ziwa, Mbeya na Songwe. Huko kwingine watu wake ni rahisi kuwa corrupted

Kiukweli kaskazini hamna kitu ndo g55 🤣njaa kidogo tu wanakuacha
Siamini watu wa huko
 
Kama hii ni propaganda ya kupata support Kanda hizo, basi propaganda hii inatakiwa iende Kenya au Nigeria. Kwa Tanzania haiwezekani!
 
Nashangaa wanaojitoa kwa sasa cdm zaid ni wachaga! Hapo ndio utaamini walikuwa cdm kimaslahi, wameona mbele ya Msingida fursa zinakwenda kupotea..
 
Hivi hizi story ambazo wewe uwa unaandika kwa research au unalala unafikiri na kuamka na kuandika? Umewahi kufuatilia Class struggle ya Tanzania iliongozwa sana watu gani? Issa Shivji kaandika vitabu na majirida mengi sana kuhusu class struggle na sehemu ambazo zinaweza kuongoza mabadiriko na huwezi kuiacha Kilimanjaro.
 
Hakuna eneo la nchi hii serikali inakuwa nalo macho kama kusini.......mtabisha Hadi kwa kebehi lakini huo ndo ukweli.
 
Mkitaja kanda ya ziwa kuna watu watazimia jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…