Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Hata kaskazini ikiachia usukani kwa kanda nyingine yoyote ile kwa sasa bado itabaki kuwa ukweli usiopingika kuwa kanda hiyo ndiyo imechangia sana mabadiliko hata haya kidogo tuliyo nayo, kuna mtangaza vita na wapiganaji, wao walitangaza vita na ccm wakati ambapo wengine walidhani ni jambo lisilowezekana, leo kuna wapiganaji walio tayari kupigana ila bado hawana uthubutu, inshaallah, tuombe Mungu, huko tuendako wanaweza kutokea majasiri wenye uthubutu hata kutokea mafia, au kilwa kivinje, its a matter of time.Utajionea. Tuombe uzima
Una ushahidi wa vingi alivyopoteza Mbowe kuliko alivyopata kwenye siasa, hilo nalijua wazi, ukiulizwa Mbowe kaiba shilingi ngapi sijui kama una exact figure, ila unajua kwa hakika kabisa kuwa kwa siasa zake hizo leo Mbowe hana billicanas tena, hana mashamba yale ya horticulture aliyokuwa nayo, biashara yake ya hotel imezorota to the ground, nini kingine? Hoteli dubai? Ile ni kama tu air bnb, hakuna hotel mle.Mbowe ni Mfanyabiashara. Huwezi tegemea kwake kufanya tofauti na alichofanya
Wewe umeongea kitu.Usiwaamini Sana Watu wa Dar na Arusha..
Una ushahidi wa vingi alivyopoteza Mbowe kuliko alivyopata kwenye siasa, hilo nalijua wazi, ukiulizwa Mbowe kaiba shilingi ngapi sijui kama una exact figure, ila unajua kwa hakika kabisa kuwa kwa siasa zake hizo leo Mbowe hana billicanas tena, hana mashamba yale ya horticulture aliyokuwa nayo, biashara yake ya hotel imezorota to the ground, nini kingine? Hoteli dubai? Ile ni kama tu air bnb, hakuna hotel mle.
Hapo unatengenezwa ulaji tu.😂😂😂Tumethibitisha noma sn
SI unaona na baadhi ya wanachama wameunga mkono Gambo Arusha huu ukanda hapana aisee