KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel.

Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za marekebisho kwa usalama wetu binafsi.

Hilo suala ni kero kwa sisi tusiokuwa na makazi zaidi ya hostel.

Tunaomba ikipendeza iwekwe wazi sasa tuweze kufahamu hatima yetu.
 
Duh,
Kwa hiyo unaoga na kujisaidia hadharani?

Hizo hostel zinamilikiwa na chuo?
 
Back
Top Bottom