Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 270
- Thread starter
-
- #21
Naona mtoto wa advance unatoa experience yako baada ya kushiba pola.Haya mawazo huwa wanatoa watoto wa advance sanasana back benches wakishashiba uji wa asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mwenzenu baada ya kusoma hii post nimrjikuta natazama vidole vya miguu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mama wawili
Kaangalie kwenye website ya tamisemi.Shule zinafinguliwa lini?
Nashukuru Mungu vina ushirikiano mkubwa tu [emoji28][emoji28][emoji28]Vina ushirikiano au ndio kama hvyo vya dizaini ya mleta mada alivyoviponda kama meno ya mamba [emoji16]
WapoMkuu uyo labda umuumbe mwenyewe Mwanamke gani asifanye ayo yote uliyoyasema yani et asivae wigi asifanye make up..!!
Mwanaume ni hela tu.Sifa zako please maana unaweza toa sifa unazotaka kumbe wewe mwenyewe ukikatiza watoto wanajificha hata kama alikuwa analia ananyamaza wanafikiri mnyama kapotea njia yakwenda hifadhi ya gombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacasa de papel kumbe unaangaliaga huu upuziHivi mwanamke hata awe na hela vip, awe na dharau vip..akiolewa na mtu kama Berlin (from Money heist) si lazima kuufyata tu.
Inawezekana mitaa unayoishi ndio hawapo tembea uone.Mkuu uyo labda umuumbe mwenyewe Mwanamke gani asifanye ayo yote uliyoyasema yani et asivae wigi asifanye make up..!!
Nashangaa kuna watu wanadai hawapo!Wapo
Hela eeee anakuchuna kisha anaenda kumhonga anayemvutia wewe unabaki kama zile kinyago cha kimakonde nyumbaniMwanaume ni hela tu.
Sihitaji wamtaandaoni huku huku mtaani poaMwanaume ni hela tu.
Au vigezo kadhaa huna hapo?
Lakini na yeye tayari nitakuwa nimeshamchakata kwa hapo ni 50/50.Hela eeee anakuchuna kisha anaenda kumhonga anayemvutia wewe unabaki kama zile kinyago cha kimakonde nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya sawaLakini na yeye tayari nitakuwa nimeshamchakata kwa hapo ni 50/50.
Wa mtaani so ndio sisi tuko jf.
Nashukuru Mungu vina ushirikiano mkubwa tu [emoji28][emoji28][emoji28]
mama wawili