Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 270
- Thread starter
- #21
Naona mtoto wa advance unatoa experience yako baada ya kushiba pola.Haya mawazo huwa wanatoa watoto wa advance sanasana back benches wakishashiba uji wa asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app