Shelby
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 332
- 349
[emoji16][emoji3][emoji16]Ha haha this time watakufa njaa.
Pia ningependa kuwashukuruUWABATA katika mtaa wangu kwa msaada wa kuipata 500/= yangu niliodondosha leo, asanteni Sana.
Wengine walikuja na fyekeo, majembe na wengine wakabeba sumaku ili pengine inate wakipitisha pitisha sumakuView attachment 1709428