Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kivipi wakati meseji zangu kana kwamba hazioni? πKama yeye ni mziki mene wewe kua Dance mnene hapo mtaendana
Amuandikie tu "natuma kwa namba ipi" hata kama ni comment tuMabaharia huwa tunamwaga hela.......
Haongei na mimi kwenye private meseji! Sina connection yoyote zaidi ya private meseji za fb & instaMabaharia huwa tunamwaga hela.......
Asante sana nitajaribu hii!Amuandikie tu "natuma kwa namba ipi" hata kama ni comment tu
ππππ! Sipigagi nyeto! Sikuwahi!Mpigie nyeto
so wewe ni me kumbe. nikajua ni pisi kaliKuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Comment inasisimua hii, vinyweleo lazma visimame.Amuandikie tu "natuma kwa namba ipi" hata kama ni comment tu