Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?