Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mtumie meseji ya mwisho, kuwa unajisikia kumtumia gift, utume kwa namba ipi.....akikaa kimya kausha babu kwanini ukomae na bubu.Haongei na mimi kwenye private meseji! Sina connection yoyote zaidi ya private meseji za fb & insta
Hiyo gift tuma huku jina litakuja Evelyn.