Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Mwambie akutumie account namba ya bank alafu kaa kimya.
 
huwa kabla hawajajibu DM wanavyuu kwanza profile yako wanajisemea tu duh kwa huyu kaka hapana kwakweli usiishi kinyonge offline na online , online kila mtu mtamu sikufundishi kila kitu
Huu ndio ukweli.

Huyo demu alishaona hizo msg za dogo, na akacheki profile ya jamaa akaona jamaa hana maajabu! Ndio maana kaamua kumpotezea.
 
Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Mimi ushauri wangu siku zote ni ule ule.

Achana na mademu wa online!

Hapo unapoishi mbona kuna mademu kibao tu wakali kuliko huyo na ni rahisi tu kuwapata? Kwanini unaacha mademu unaowaona kwa macho unahangaika na watu usiowajua? Ukute hata hizo picha zinazokupagawisha sio zake, au ziko edited mwenyewe ukimuona utakimbia..!

Tongoza mademu wanaokuzunguka utakuja kunishukuru.
 
Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Wanawake wa namna hiyo huwa wanapokea DMs nyingi sana hivyo ni ngumu sana kukujibu na huna hakufaham personally au uwe maarufu kuzidi yeye. Si ajabu huwa anapokwa DM 100 kila siku
 
Back
Top Bottom