Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mtumie meseji ya mwisho, kuwa unajisikia kumtumia gift, utume kwa namba ipi.....akikaa kimya kausha babu kwanini ukomae na bubu.Haongei na mimi kwenye private meseji! Sina connection yoyote zaidi ya private meseji za fb & insta
Inategemea sasa. Kma mm niko mbagala haina haja ya kumtumia mtu.. hata kama Ms R aifate tuComment inasisimua hii, vinyweleo lazma visimame.
"Natuma kwa namba ipi" watu wanaoandikaga hii nasema hiviiii..........
mko wapiiiii
Mwambie akutumie account namba ya bank alafu kaa kimya.Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Bas nikufate mm achana na vijana wadogo kina Mbaga JrSasa si hadi nkafike huko io pesa ushaimaliza
Hawajui tu utamu wa hii msg walah!Comment inasisimua hii, vinyweleo lazma visimame.
"Natuma kwa namba ipi" watu wanaoandikaga hii nasema hiviiii..........
mko wapiiiii
Huu ndio ukweli.huwa kabla hawajajibu DM wanavyuu kwanza profile yako wanajisemea tu duh kwa huyu kaka hapana kwakweli usiishi kinyonge offline na online , online kila mtu mtamu sikufundishi kila kitu
Mimi ushauri wangu siku zote ni ule ule.Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Wanawake wa namna hiyo huwa wanapokea DMs nyingi sana hivyo ni ngumu sana kukujibu na huna hakufaham personally au uwe maarufu kuzidi yeye. Si ajabu huwa anapokwa DM 100 kila sikuKuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Aaaah? princess ariana πππNipe account yake nikusaidie kumwambia
Kama uko ssrious...