Saidi gawa
New Member
- Aug 21, 2019
- 2
- 1
Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani?Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
Usimlaumu pengine siyo mzaliwa wa Pwani kwa hivyo hajui hata baharia huwa anafanya nini kwenye meli.Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani?
Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe.