Saidi gawa New Member Joined Aug 21, 2019 Posts 2 Reaction score 1 Jun 17, 2022 #1 Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jun 17, 2022 #2 Saidi gawa said: Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini? Click to expand... Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani? Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe.
Saidi gawa said: Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini? Click to expand... Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani? Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Jun 17, 2022 #3 Matola said: Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani? Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe. Click to expand... Usimlaumu pengine siyo mzaliwa wa Pwani kwa hivyo hajui hata baharia huwa anafanya nini kwenye meli.
Matola said: Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani? Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe. Click to expand... Usimlaumu pengine siyo mzaliwa wa Pwani kwa hivyo hajui hata baharia huwa anafanya nini kwenye meli.